Épisodes

  • Skiza T.k na DjJoozey
    Mar 13 2023

    T.k amemtafuta Dj Joozey na kuzungumza nae amewezaje kupiga mziki kwenye kilele cha mlima kilimanjaro ambapo ameiweka rekodi yake ya kuwa Dj wa kwanza kupiga mziki kwenye kilele cha mlima kilimanjaro

    Voir plus Voir moins
    5 min
  • skiza thomas na producer aloneyms
    Apr 3 2023
    hapa tumefanya mazungumzo na aloneyms kuhusiana na uaandaaji wa mziki na kiasi ambacho kwa sasa utamlipa kama msanii unataka kufanya nae kazi
    Voir plus Voir moins
    3 min
  • Skiza the podcast with Rolly Msouth (Madenge)
    Apr 6 2023
    Freestyle battle ambayo wakazi alisema hafanyi bila mtu kuweka millioni 10 mezani. Rolland akaweka alaf Wakazi haku respond kwenye battle na pia tumezungumzia new generation haina watu wanao freestyle na wao kama waasisi wanampango gani kuirithisha new generation
    Voir plus Voir moins
    8 min
  • Skiza maoni na ufafanuzi kuhusu tuzo TMA (Tanzania Music Awards)
    Apr 11 2023
    Tumefanya mazungumzo na baadhi ya washiriki wa tuzo, Baraza la sanaa pamoja na wadau ambao wanafanya kazi kwenye tasnia nzima ya habari hususa ni sekta nzima ya Burudani na ule ufafanuzi na utata umemalizwa humu.
    Voir plus Voir moins
    9 min
  • Skiza with syliva sostenes (psychologist)
    Apr 13 2023
    Skiza imezungumza na mwanasaikolojia sylivia sostenesi, amefafanua juu ya changamoto za afya ya akili na hatua zipi za kupitia ili kupata msaada. Tukiangazia changamoto iliyompata Rosa Ree ambae ni msanii wa bongofleva hapa nchini
    Voir plus Voir moins
    12 min
  • Skiza na p mawenge #SimuNaMatukio
    Apr 28 2023
    Simu huwa na matukio mengi sana sasa Pmwenge akaona atuekee baadhi ya matukio hayo kwenye EP akaona atubless mashabiki zake sasa tumepiga nae story anatujuza kwa nini matukio hayo kaamua kuyaeka kwenye nyimbo.
    Voir plus Voir moins
    8 min
  • Skiza with Fredrick mulla (masta manondo)
    Jun 16 2023
    utofauti kwenye aina ya sanaa ambayo amekuwa akiifanya umefanya nimtafute tupige nae story kuhusu mziki wake. kwenye industry.
    Voir plus Voir moins
    10 min