Page de couverture de 2. Je, inawezekana mtu kumnunua Roho Mtakatifu kwa uwezo wake? (Matendo 8:14-24)

2. Je, inawezekana mtu kumnunua Roho Mtakatifu kwa uwezo wake? (Matendo 8:14-24)

2. Je, inawezekana mtu kumnunua Roho Mtakatifu kwa uwezo wake? (Matendo 8:14-24)

Écouter gratuitement

Voir les détails du balado

À propos de cet audio

Husika na somo kuu katika kifungu hiki, napenda kuleta ujumbe huu iwapo “mtu anaweza kumpokea Roho Mtakatifu ndani yake kwa kupitia juhudi binafsi”. Mitume katika nyakati hizo za Kanisa la kwanza waliweza kupokea nguvu toka kwa Mungu na kutumwa sehemu kadhaa naye. Yapo matendo ya miujiza kadhaa katika Kitabu cha Matendo, mojawapo likiwa kushuka kwa Roho Mtakatifu juu ya waumini pale Mitume walipowawekea mikono. Biblia inasema “Mitume walipowawekea mikono wale ambao hawakuwa wamempokea Roho Mtakatifu ingawa walikwisha mwamini Yesu, walipokea Roho Mtakatifu.”

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Pas encore de commentaire