Page de couverture de 8. Ieneze Injili ya Kweli na Tendo la Haki la Yesu (Mathayo 3:1-17)

8. Ieneze Injili ya Kweli na Tendo la Haki la Yesu (Mathayo 3:1-17)

8. Ieneze Injili ya Kweli na Tendo la Haki la Yesu (Mathayo 3:1-17)

Écouter gratuitement

Voir les détails du balado

À propos de cet audio

Ni hakika kuwa Yohana Mbatizaji alikuwa ni mtu muhimu sana katika Biblia. Yohana Mbatizaji aliwalilia watu wa Israeli ili wafanye toba. Ni lazima tuzikumbuke kikamilifu kazi za Yesu na Yohana Mbatizaji. Yesu, aliyekuja hapa duniani aliwaokoa wanadamu, akitii mapenzi ya Mungu wakiwa pamoja na Yohana Mbatizaji. Yohana Mbatizaji na Yesu walikuja hapa duniani na wakayakamilisha matendo ya haki.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Pas encore de commentaire