Obtenez 3 mois à 0,99 $/mois + 20 $ de crédit Audible

OFFRE D'UNE DURÉE LIMITÉE
Page de couverture de HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea''

HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea''

HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea''

Auteur(s): Judith Isack
Écouter gratuitement

À propos de cet audio

Huu ni mwanzo wa mfululizo wa hadithi za kiswahili zitakazomsaidia mtoto kuwa na uwezo mzuri wa kufanya vizuri darasani kwa kumuongezea uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu, hali ya udadisi na uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mbalimbali.judithisack2022 Littérature
Épisodes
  • MKE MKULIMA NA MUME MWINDAJI
    Oct 23 2022

    Ukimaliza kusikiliza hadithi hii naomba niambie vitu hivi

    -Ni sehemu gani ya hadithi hii imekuvutia zaidi?

    -Ni nani umempenda zaidi kwenye hadithi hii kati ya mume mwindaji, mke mkulima au Sungura?

    -unahisi kwanini hadithi hiiilitungwa, ungekuwa wewe ndo umeitunga hadithi hii je ungeimalizaje?

    INSTAGRAM @simulikahadithiya maisha EMAIL simulikaorganization@gmail.com

    Voir plus Voir moins
    22 min
Pas encore de commentaire