OFFRE D'UNE DURÉE LIMITÉE | Obtenez 3 mois à 0.99 $ par mois

14.95 $/mois par la suite. Des conditions s'appliquent.
Page de couverture de Nilikuwa darasa moja na Dr. Ruto, Rais Mteule

Nilikuwa darasa moja na Dr. Ruto, Rais Mteule

Nilikuwa darasa moja na Dr. Ruto, Rais Mteule

Écouter gratuitement

Voir les détails du balado

À propos de cet audio

Esther Cherobon alikuwa katika darasa moja na Rais Mteule, William Ruto katika Shule ya Msingi ya Kamagut kwenye Eneobunge la Turbo katika Kaunti ya Uasin Gishu. Cherobon anasema kuwa Ruto alikuwa mwerevu sana shuleni na alipofanya mtihani wa wa CPE mwaka 1980 aliibuka wa kwanza kwenye eneo zima kwa kupata alama 33 juu ya 36. Anasema wazazi wa Ruto walikuwa waanzilishi wa kanisa la AIC hivyo kumkuza pamoja na nduguze kwa kuzingatia dini. Licha ya kulelewa katika mazingira ya umasikini, Ruto alitia bidii masomoni akilenga kubadili hali yake na ya familia yake. Faith Kutere amemhoji kwenye Siasa Podcast wiki hii.
Pas encore de commentaire