Page de couverture de SURA YA 1-5. Waipingao kweli kwa uovu (Warumi 1:18-25)

SURA YA 1-5. Waipingao kweli kwa uovu (Warumi 1:18-25)

SURA YA 1-5. Waipingao kweli kwa uovu (Warumi 1:18-25)

Écouter gratuitement

Voir les détails du balado

À propos de cet audio

Tunaweza kuona kwamba Paulo Mtume alihubiri Injili ile ile ambayo nasi leo tunaihubiri. Je, ni kwa nini ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa? Hukumu ya Mungu imedhihirishwa kwa waasi wote waipingao kweli kwa uovu, ikimaanisha kwa wale wote wenye dhambi na kuzuia ukweli kwa mawazo yao.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Pas encore de commentaire