Page de couverture de SURA YA 10-2. Je, Unafahamu Kunyakuliwa Kwa Watakatifu Kutatokea Lini?

SURA YA 10-2. Je, Unafahamu Kunyakuliwa Kwa Watakatifu Kutatokea Lini?

SURA YA 10-2. Je, Unafahamu Kunyakuliwa Kwa Watakatifu Kutatokea Lini?

Écouter gratuitement

Voir les détails du balado

À propos de cet audio

Hebu sasa tuangalie juu ya ni lini unyakuo utatokea. Kuna vifungu vingi katika Biblia vinavyozungumzia kuhusu unyakuo. Agano Jipya lina vifungu vingi vinavyozungumzia mada hiyo, vivyo hivyo Agano lake Kale, kwa mfano ni wapi tunapoweza kuona hivyo, Eliya alichukuliwa mbinguni katika gari la farasi la moto, na Enoki aliyetembea na Mungu naye pia alichukuliwa na Mungu. Kama inavyoweza kuonekana, Biblia inazungumzia juu ya kunyakuliwa katika sehemu nyingi. Unyakuo maana yake ni ‘kuinuliwa juu.’ Inahusiana na tendo la Mungu la kuwainua watu wake kwenda Mbinguni kwa nguvu zake.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Pas encore de commentaire