Page de couverture de SURA YA 11-1. Mizeituni Miwili na Manabii Wawili ni Akina Nani? (Ufunuo 11:1-19)

SURA YA 11-1. Mizeituni Miwili na Manabii Wawili ni Akina Nani? (Ufunuo 11:1-19)

SURA YA 11-1. Mizeituni Miwili na Manabii Wawili ni Akina Nani? (Ufunuo 11:1-19)

Écouter gratuitement

Voir les détails du balado

À propos de cet audio

Neno la Ufunuo 11 ni la muhimu sana kwetu, ni muhimu kama lilivyo Neno lote la Mungu. Ili Mungu aweze kuuangamiza ulimwengu, basi kuna kazi moja ya muhimu sana ambayo anapaswa kuifanya mapema. Na hii ni kuwavuna watu wa Israeli kwa ajili ya nyakati za mwisho. Pia Mungu anayo kazi nyingine ya kuifanya kwa Waisraeli na Wamataifa, na kazi hii ni kuwafanya washiriki katika ufufuo wa kwanza na unyakuo kwa kuwaruhusu wauawe na kuwa wafia-dini.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Pas encore de commentaire