Page de couverture de SURA YA 4-1. Sisi Ndio Hatutaweza kuonja Mauti kamwe, Tutafurahia Maisha ya Milele (Wagalatia 4:1-11)

SURA YA 4-1. Sisi Ndio Hatutaweza kuonja Mauti kamwe, Tutafurahia Maisha ya Milele (Wagalatia 4:1-11)

SURA YA 4-1. Sisi Ndio Hatutaweza kuonja Mauti kamwe, Tutafurahia Maisha ya Milele (Wagalatia 4:1-11)

Écouter gratuitement

Voir les détails du balado

À propos de cet audio

Mtume Paulo alisema katika Wagalatia 4:1,Sasa nasema kwamba mrithi,maadamu ni motto,hana tofauti kabisa na mtumwa, ingawa ni Bwana wa wote.Imeandikwa kuwa ikiwa sisi ni wana wa Mungu,basi sisi ni warithi wa urithi wake,Sisi ni warithi wa Mungu,inamaanisha kuwa Mungu ameturuhusu kupata uzima wa kweli kwa kutupatia ondoleo la dhambi zetu mileleTunapaswa sote kufahamu umuhimu mkubwa wa kile Mtume Paulo anasema hapa na kuamini kwa mioyo yetu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Pas encore de commentaire