Page de couverture de SURA YA 5-2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6)

SURA YA 5-2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6)

SURA YA 5-2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6)

Écouter gratuitement

Voir les détails du balado

À propos de cet audio

Katika Wagalatia sura 5 mtari wa 1, inasema, Kwa hiyo simameni,wala msinaswe tena chini ya konwa la utumwa. Kifungu hiki kinatuambia tusiipokee tohara ya mwili inayoturudisha kuwa watenda dhambi, kwa sababu Yesu Kristo alikuja kutuokoa kutoka katika dhambi. Bwana wetu ametufanya kuwa watoto wa Mungu kwa kutuokoa kutoka katika dhambi za ulimwengu huu kwa injili ya maji na Roho. Kwa kweli Bwana ametupa wokovu wa kweli na uhuru wa kweli kwa wale tunaoamini injili ya maji na Roho.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Pas encore de commentaire