Page de couverture de SURA YA 5-3. Kuishi Kwa Matakwa Ya Roho Mtakatifui (Wagalatia 5:7-26)

SURA YA 5-3. Kuishi Kwa Matakwa Ya Roho Mtakatifui (Wagalatia 5:7-26)

SURA YA 5-3. Kuishi Kwa Matakwa Ya Roho Mtakatifui (Wagalatia 5:7-26)

Écouter gratuitement

Voir les détails du balado

À propos de cet audio

Kuna wakristo wengi wakati huu ambao bado hawajasamehewa dhambi zao, kwa kuwa hawajapokea injili ya ondoleo la dhambi ambayo imekuja na injili ya maji na Roho, na wanabaki wakikamatwa na mafundisho wakristo wa uwongo.Kwa hivyo, kupitia Kitabu hiki cha Wagalatia, napenda kuwaonya kwa kuwa wanakabiliwa na uharibifu wa kiroho kwa sababu ya fundisho la sala za toba ambalo wamekuwa wakifuata. Ninahisi hivyo isipokuwa nichukue fursa hii kuweka wazi jambo hili, hakutakuwa na fursa nyingine ya kusahihisha imani yao potofu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Pas encore de commentaire