Page de couverture de SURA YA 5-4. Matakwa ya Roho Mtakatifu na yale ya Mwilini (Wagalatia 5:13-26)

SURA YA 5-4. Matakwa ya Roho Mtakatifu na yale ya Mwilini (Wagalatia 5:13-26)

SURA YA 5-4. Matakwa ya Roho Mtakatifu na yale ya Mwilini (Wagalatia 5:13-26)

Écouter gratuitement

Voir les détails du balado

À propos de cet audio

Katika aya na maandiko ya leo, Mtume Paulo alisema, Tembea kwa Roho. Je! Inamaanisha nini kwetu kuzaliwa mara ya pili kwa kufuata matakwa ya Roho mbele za Mungu? Ni kuishi aina ya maisha yanayompendeza Mungu kama, kuhubiri injili ya maji na Roho kwa roho zingine ili waweze pia kupokea ondoleo la dhambi zao.Kinacholeta matakwa ya Roho ndani yetu na kutufanya tuishi kulingana na shauku hii ni imani yenyewe iliyowekwa katika injili ya maji na Roho.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Pas encore de commentaire