Page de couverture de SURA YA 7-5. Mwili Unaitumikia Sheria ya Dhambi (Warumi 7:24-25)

SURA YA 7-5. Mwili Unaitumikia Sheria ya Dhambi (Warumi 7:24-25)

SURA YA 7-5. Mwili Unaitumikia Sheria ya Dhambi (Warumi 7:24-25)

Écouter gratuitement

Voir les détails du balado

À propos de cet audio

Biblia inatueleza sisi pia kuwa, “kwa akili zangu naitumikia sheria ya Mungu, bali kwa mwili wangu sheria ya dhambi.” Na hizo ndio sheria zinazotutawala. Mioyo yetu imeumbwa kumpenda Mungu na kuupenda ukweli, lakini ni kawaida kwa mwili kuitumikia sheria ya dhambi. Neno la Mungu linatueleza sisi kuwa moyo unaitumikia injili na haki ya Mungu ilhali mwili unaitumikia dhambi tu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Pas encore de commentaire