Page de couverture de Tanzania Adapts: Part 2 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki

Tanzania Adapts: Part 2 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki

Tanzania Adapts: Part 2 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki

Écouter gratuitement

Voir les détails du balado

À propos de cet audio

“Nilijifunza kupitia mtandao kuanzia nyumbani kwa kutumia sufuria na familia yangu waliona napoteza muda kwa ninachofanya lakini nilisema hapana kwakuwa nimesoma mtandaoni kuwa Plastic ina fursa kubwa sana ambayo hatujaitumia ipasavyo hapa Tanzania” Hellen Sailas (26years). Hellen ni mgeni wetu kwenye Episode hii mpya ya Tanzania Adapts Podcast, ni mwanzilishi na Mkurugenzi Arena Recycling anayetumia ubunifu kurejelesha taka za Plastic kutengeneza matofali magumu yanayotumika kwenye ujenzi. Hii ni sehemu ya kwanza ya Episode hii akielezea amewezaje kuruka viunzi kuanzia ngazi ya familia, kukua kwenye uongozi na ubunifu wake kuleta mabadiliko chanya kimazingira kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kutambulika kitaifa na kimataifa.

Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Ce que les auditeurs disent de Tanzania Adapts: Part 2 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki

Moyenne des évaluations de clients

Évaluations – Cliquez sur les onglets pour changer la source des évaluations.