Page de couverture de Tukio 22 – Mwanamichezo Aliyetoweka

Tukio 22 – Mwanamichezo Aliyetoweka

Tukio 22 – Mwanamichezo Aliyetoweka

Écouter gratuitement

Voir les détails du balado

À propos de cet audio

Philipp na Paula wanafuata dalili za papa na kugundua jambo la kushangaza. Wanaingiwa na hamu zaidi wanapopata bao la kuteleza kwenye mawimbi ya bahari bila mwenyewe na pia makala ya gazeti inayowachanganya. Wanapoepukana na zogo la umati wa watu, waandishi habari hao wawili wanachunguza mahali papa alipopatikana. Wanapoona bao lililovunjika la kuteleza kwenye mawimbi ya bahari, wanaingiwa na wasiwasi. Kisha, kwenye gazeti moja la Hamburg wanaona picha ya papa—na wafanyikazi wenzao Laura na Paul ambao wanaonekana kuwa na wasiwasi. Lakini yote hayo yanahusiana vipi? Tukio hili linasisitiza viwakilishi-nafsi "sie" na "er," vinavyotumika pia kuelezea majina ya jinsia ya kike na ya kiume, ambavyo tayari vimezungumziwa.

Ce que les auditeurs disent de Tukio 22 – Mwanamichezo Aliyetoweka

Moyenne des évaluations de clients

Évaluations – Cliquez sur les onglets pour changer la source des évaluations.