Page de couverture de MUONGOZO WA KUFANYA KILIMO BIASHARA

MUONGOZO WA KUFANYA KILIMO BIASHARA

MUONGOZO WA KUFANYA KILIMO BIASHARA

Auteur(s): IMANI LUBABA
Écouter gratuitement

À propos de cet audio

Podcast hii imelenga kukupatia maarifa, elimu na taarifa za msingi, ambazo zitamuwezesha mkulima au mtu anaetaka kuingia katika kilimo na ufugaji kuweza kufanya kilimo biashara. Podscast hii imetengenezwa kwa kukusanya maoni na uzoefu kutoka kwa wakulima waliofanikiwa, wataalamu mbalimbali na wadau wengine kuweza kuhakikisha tunakuletea kilichobora zaidi. Wasiliana nasi kwa msaada, elimu au usaidizi zaidi +255764 148 221 KAMA UMEJIFUNZA UNAWEZA KUSAPPORT KAZI YETU M-PESA +255764 148 221 IMANI LUBABA EMMANUEL CRDB BANK 0152451464600 IMANI LUBABA EMMANUEL TAJIRIKA KUPITIA KILIMO NA UFUGAJIIMANI LUBABA
Épisodes
  • MBINU ZA KUONGEZA MAPATO YA ZIADA KATIKA MRADI WAKO
    Apr 9 2023

    Katika Episode hii nimeelezea kwa kina nini ufanye na utazame kabla ya kuwekeza katika wazo ambalo tayari umechagua kulifanya
    SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU KIUJIFUNZA ZAIDI Https://youtube.com/@rubabatv

    KAMA UMEJIFUNZA TUSAPPORT KWA CHOCHOTE
    +255764148221 IMANI LUBABA EMMANUEL
    CRDB BANK 0152451464600 IMANI LUBABA EMMANUEL

    Voir plus Voir moins
    11 min
  • JINSI YA KUPUNGUZA RISK (HATARI) KATIKA MRADI WAKO
    Apr 9 2023

    Katika Episode hii nimeelezea kwa kina nini ufanye na utazame kabla ya kuwekeza katika wazo ambalo tayari umechagua kulifanya
    SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU KIUJIFUNZA ZAIDI Https://youtube.com/@rubabatv

    KAMA UMEJIFUNZA TUSAPPORT KWA CHOCHOTE
    +255764148221 IMANI LUBABA EMMANUEL
    CRDB BANK 0152451464600 IMANI LUBABA EMMANUEL

    Voir plus Voir moins
    11 min
  • JINSI YA KUANZA, KUKUZA NA KUFANIKIWA KATIKA MRADI WAKO
    Apr 9 2023

    Katika Episode hii nimeelezea kwa kina nini ufanye na utazame kabla ya kuwekeza katika wazo ambalo tayari umechagua kulifanya
    SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU KIUJIFUNZA ZAIDI Https://youtube.com/@rubabatv

    KAMA UMEJIFUNZA TUSAPPORT KWA CHOCHOTE
    +255764148221 IMANI LUBABA EMMANUEL
    CRDB BANK 0152451464600 IMANI LUBABA EMMANUEL

    Voir plus Voir moins
    10 min

Ce que les auditeurs disent de MUONGOZO WA KUFANYA KILIMO BIASHARA

Moyenne des évaluations de clients

Évaluations – Cliquez sur les onglets pour changer la source des évaluations.