Résultats de "IMANI LUBABA" dans Toutes les catégories
-
-
MUONGOZO WA KUFANYA KILIMO BIASHARA
- Auteur(s): IMANI LUBABA
- Production originale
-
Au global
-
Performance
-
Histoire
Podcast hii imelenga kukupatia maarifa, elimu na taarifa za msingi, ambazo zitamuwezesha mkulima au mtu anaetaka kuingia katika kilimo na ufugaji kuweza kufanya kilimo biashara. Podscast hii imetengenezwa kwa kukusanya maoni na uzoefu kutoka kwa wakulima waliofanikiwa, wataalamu mbalimbali na wadau wengine kuweza kuhakikisha tunakuletea kilichobora zaidi. Wasiliana nasi kwa msaada, elimu au usaidizi zaidi +255764 148 221 KAMA UMEJIFUNZA UNAWEZA KUSAPPORT KAZI YETU M-PESA +255764 148 221 IMANI LUBABA EMMANUEL CRDB BANK 0152451464600 IMANI LUBABA EMMANUEL TAJIRIKA KUPITIA KILIMO NA UFUGAJI
Échec de l'ajout au panier.
Veuillez réessayer plus tardÉchec de l'ajout à la liste d'envies.
Veuillez réessayer plus tardÉchec de la suppression de la liste d’envies.
Veuillez réessayer plus tardÉchec du suivi du balado
Ne plus suivre le balado a échoué
-