Page de couverture de Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

Auteur(s): Radio Maria Tanzania
Écouter gratuitement

À propos de cet audio

Radio Maria Tanzania Christianisme Pastorale et évangélisme Spiritualité
Épisodes
  • Je, unafahamu changamoto ya Afya ya akili kwa kijana?
    Sep 18 2025

    Karibu uungane nami Joyce Jonatus katika kipindi cha Jukwaa la Vijana, Mwezeshaji wetu ni Daktari Katanta Razalusi, Mwandamizi wa Masuala ya Uzazi na Familia na Mwenyekiti wa Watoa Huduma za Afya Wakatoliki Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, akitufundisha juu ya changamoto ya Afya ya Akili kwa Vijana.

    L'articolo Je, unafahamu changamoto ya Afya ya akili kwa kijana? proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    48 min
  • Fahamu changamoto ya afya ya akili kwa vijana.
    Sep 10 2025

    Karibu uungane nami Joyce Jonatus katika kipindi cha Jukwaa la Vijana, mwezeshaji Daktari Katanta Lazarus Simwanza, Mshauri mwandamizi wa maswala ya afya ya uzazi, malezi na familia lakini pia ni Mwenyekiti wa watoa huduma za afya wakatoliki Jimbo Kuu la Dar es salaam, anazungumzia juu ya vijana na changamoto ya afya ya akili.

    L'articolo Fahamu changamoto ya afya ya akili kwa vijana. proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    48 min
  • Fahamu historia ya Tanzania Humanitarian Fund (THF), Mfuko wa Hisani wa kusaidia Mahitaji ya Binadamu Tanzania na utendaji kazi wake.
    Aug 28 2025

    Karibu uungane nami Joyce Jonatus katika kipindi cha Elimu Jamii, Wawezeshaji ni Dokta Apiov Lwiwa kiongozi THF-Morogoro , Bi.Mary Gilbert Masudi Mratibu wa THF pamoja na Bi. Mariana Consalves kutoka Mfuko wa Hisani wa Kusaidia Mahitaji ya Kibinadamu Tanzania.

    L'articolo Fahamu historia ya Tanzania Humanitarian Fund (THF), Mfuko wa Hisani wa kusaidia Mahitaji ya Binadamu Tanzania na utendaji kazi wake. proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    36 min
Pas encore de commentaire