Épisodes

  • Je, unafahamu maana na umuhimu wa viakisi mwanga barabarani?
    Jan 30 2026

    Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Usalama Barabarani, Wawezeshaji ni Staff Sajenti Aurelian Chuwa na Sajenti Abdala Isamail kutoka Traffic Makao Makuu wakizungumzia mada juu ya viakisi mwanga.

    L'articolo Je, unafahamu maana na umuhimu wa viakisi mwanga barabarani? proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    36 min
  • Fahamu kutungwa mimba kwa mwanadamu mpaka kuzaliwa kwake
    Jan 29 2026

    Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro – Life, Utetezi wa Uhai ambapo studio nipo na Bwana Godfrey Mkaikuta, Antony Lihepa, Witness Joachim na Janeth Akaro, Wakufunzi kutoka Pro – Life Tanzania wakitufundisha mada juu ya Mwanamke na tumbo la uzazi.

    L'articolo Fahamu kutungwa mimba kwa mwanadamu mpaka kuzaliwa kwake proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    54 min
  • Je, ni halali kiongozi wa Kanisa kujihusisha na Siasa?
    Oct 24 2025

    Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frater Daud Fungameza kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali la msikilizaji linalosema Kanisa au kiongozi wa Kanisa kujihusisha na harakati za kisiasa au chama cha kisiasa inaruhusiwa?

    L'articolo Je, ni halali kiongozi wa Kanisa kujihusisha na Siasa? proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    28 min
  • Fahamu historia ya neno Misa
    Oct 24 2025

    Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frater Daud Fungameza kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali la msikilizaji linalosema neno Misa lilianza kutumika lini?

    L'articolo Fahamu historia ya neno Misa proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    27 min
  • Fahamu sababu 10 za kuzaa mtoto mwingine
    Oct 24 2025

    Karibu uungane nami Joyce Jonatus katika kipindi cha Pro Life Utetezi wa Uhai, mwezeshaji ni Godfly Mkaikuta, akitufundisha juu ya sababu 10 za kuzaa mtoto mwingine

    L'articolo Fahamu sababu 10 za kuzaa mtoto mwingine proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    58 min
  • Fahamu majukumu na wajibu wa Mlei?
    Oct 24 2025

    Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Utume wa Walei, mwezeshaji ni Bi. Rose Gerald Katibu wa Kamati ya Uinjilishaji Jimbo Kuu Katoliki Dar Es Salaam, akitufundisha juu ya wajibu wa Walei na majukumu yao.

    L'articolo Fahamu majukumu na wajibu wa Mlei? proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    56 min
  • Je, unafahamu sifa ya Mama Bikra Maria Malkia wa Imani?
    Oct 24 2025

    Karibu katika kipindi cha Tafakari Nasi, leo tunaungana na Padre Gidion Kitamboya kutoka Parokia ya Mtakatifu Luka Mwinjili Hembahemba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, akitufundisha juu ya Bikra Maria Malkia wa Imani.

    L'articolo Je, unafahamu sifa ya Mama Bikra Maria Malkia wa Imani? proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    26 min
  • Je, unafahamu maisha ya Mtakatifu Bartolongo?
    Oct 24 2025

    Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi,Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula {C.PP.S}, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akitufundisha juu ya maisha ya Mtakatifu mpya Mtakatifu Bartolongo.

    L'articolo Je, unafahamu maisha ya Mtakatifu Bartolongo? proviene da Radio Maria.

    Voir plus Voir moins
    58 min