Page de couverture de SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

Auteur(s): SBS
Écouter gratuitement

À propos de cet audio

Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza KiswahiliCopyright 2023, Special Broadcasting Services Politique Sciences sociales
Épisodes
  • Taarifa ya Habari 16 Septemba 2025
    Sep 16 2025
    Naibu Waziri Mkuu Richard Marles amekana madai kuwa uwekezaji wa $12 bilioni iliyo tangazwa juzi ime undwa ili kutuliza maombi ya Marekani kwa Australia kuongeza matumizi yake katika ulinzi.
    Voir plus Voir moins
    15 min
  • SBS Learn Eng Ep 95 Anga la usiku
    Sep 16 2025
    Je, unajua jinsi ya kuelezea kuhusu anga la usiku?
    Voir plus Voir moins
    13 min
  • Kitu chakufanya unapo kutana na wanyamapori kwenye mali yako
    Sep 15 2025
    Popote ulipo nchini Australia, kutoka jiji kuu lenye shughuli nyingi, hadi katika viunga vya mji, katika mji wa kikanda au kijijini, kuna uwezekano unaweza kutana na aina mbali mbali za wanyamapori wazuri wa Australia.
    Voir plus Voir moins
    12 min
Pas encore de commentaire