Résultats de "DENIS L. NTABULUGWA" dans Toutes les catégories
-
-
SHADOTUBE
- Auteur(s): DENIS L. NTABULUGWA
- Production originale
-
Au global0
-
Performance0
-
Histoire0
Karibu kwenye Podcast yangu! Nimeanzisha podcast hii kwa madhumuni makuu matatu muhimu: Kwanza, ni jambo ninalopenda kufanya. Pili, ni kwa lengo la kuwasaidia wengine. Tatu, ni kwaajili ya kufikia malengo makuu maishani. Popote ulipozaliwa au kukulia, nitakusaidia kupitia ujuzi wote niliojifunza na kufundishwa na wengine. Lengo langu ni kukusaidia kutimiza mahitaji yako, mipango yako, na ndoto zako katika ulimwengu wa teknolojia - kupitia maudhui ya video na sauti yenye ubora. Nimekuwa nikijifunza namna ya kuwasaidia wengine tangu udogo wangu, na baada ya kupitia changa moto nyigi.
Échec de l'ajout au panier.
Veuillez réessayer plus tardÉchec de l'ajout à la liste d'envies.
Veuillez réessayer plus tardÉchec de la suppression de la liste d’envies.
Veuillez réessayer plus tardÉchec du suivi du balado
Ne plus suivre le balado a échoué
-