Résultats de "Noel Maturlu" dans Toutes les catégories
-
-
Dreamlife TV
- Auteur(s): Noel Maturlu
- Production originale
-
Au global0
-
Performance0
-
Histoire0
Kinyume na fikra za wengi Afrika ilikuwa fahari ya dunia kiuchumi, kielimu, na kijeshi. Lakini licha ya utajiri wetu wa raslimali Waafrika, bila kujali tuko wapi, tumedhalilika mno. Miaka mingi baada ya utumwa Waafrika bado tunaishi kwa kutegemea misaada ya wakoloni wa kiuchumi. Mengi yamesemwa juu ya sababu za umasikini wetu Waafrika. Wengi wametoa maoni yao juu ya nini hasa kifanyike ili nasi Waafrika tuondokane na fedheha hii sugu lakini matokeo yamekuwa duni. Leo hii kuna Wakristo wengi Afrika ikilinganishwa na miaka ya nyuma. Lakini ubora wa maisha ya Wakristo hao na wa jamii inayo ...
Échec de l'ajout au panier.
Veuillez réessayer plus tardÉchec de l'ajout à la liste d'envies.
Veuillez réessayer plus tardÉchec de la suppression de la liste d’envies.
Veuillez réessayer plus tardÉchec du suivi du balado
Ne plus suivre le balado a échoué
-