• Ubora Podcast

  • Written by: Dr Chriss
  • Podcast
Ubora Podcast cover art

Ubora Podcast

Written by: Dr Chriss
  • Summary

  • Karibu kwenye Ubora Podcast! Tunatengeneza podcast za Kiswahili zenye mwelekeo wa kugusia maeneo mbalimbali ambayo ni muhimu kwa maisha ya kila siku, kwa lengo la kutoa uchambuzi wa kina lakini pia kutatua changamoto zinazowakabili watu mbalimbali kwenye nyanja hizo.

    Kupitia mahojiano na wataalamu wa Nyanja hizo, watu mbalimbali wenye mifano hai, uzoefu na ujuzi mbalimbali, tunatathmini suluhu za vitendo katika changamoto hizi na kuja na suluhu na uchambuzi wa kina.

    Jiunge nasi katika podcast yetu na usisahau kutoa maoni yako na kushiriki podcast yetu na watu wengine.

    Show more Show less
Episodes
  • Ubora podcast | TECH SERIES TRAILER
    May 11 2024

    Umewahi kujiuliza jinsi programu hiyo inavyofanya kazi au teknolojia itakuwaje siku za usoni? Jiunge nasi tunapochunguza ulimwengu wa kuvutia wa teknoloji.

    Jiandae kupanua ujuzi wako wa teknolojia! Tufuate katika safari ambayo tutazungumzia gunduzi za hivi punde, mwenendo, na mafanikio ya teknolojia. Yote haya ni katika podcast moja ya kusisimua.

    KARIBU

    Show more Show less
    1 min

What listeners say about Ubora Podcast

Average Customer Ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.