
2. Wanadamu Huzaliwa Wakiwa ni Wenye Dhambi (Marko 7:20-23)
Échec de l'ajout au panier.
Échec de l'ajout à la liste d'envies.
Échec de la suppression de la liste d’envies.
Échec du suivi du balado
Ne plus suivre le balado a échoué
-
Narrateur(s):
-
Auteur(s):
À propos de cet audio
Kabla sijaendelea, ningependa kukuuliza swali. Wewe unaonaje kuhusu wewe mwenyewe? Je, unafikiri wewe ni mzuri sana au mbaya sana? unafikiri nini?
Watu wote wanaishi chini ya udanganyifu wao wenyewe. Labda wewe sio mbaya kama unavyofikiria, na sio mzuri kama vile unavyofikiria.
Kwa hiyo unadhani nani ataongoza maisha bora ya kidini? Je, itakuwa wale wanaojiona kuwa wazuri au wale wanaojiona kuwa wabaya?
Ni ya pili. Kwa hiyo, ni nani ana uwezekano mkubwa wa kuokolewa: wale ambao wamefanya dhambi nyingi au wale ambao wamefanya dhambi chache? Wale walio na dhambi nyingi wana uwezekano mkubwa wa kukombolewa kwa sababu wanajijua wenyewe kuwa wenye dhambi. Wanaweza kukubali vyema zaidi ukombozi uliotayarishwa kwa ajili yao na Yesu.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35