
6. Yesu Kristo Alikuja kwa Maji, Damu, na Roho (1 Yohana 5:1-12)
Échec de l'ajout au panier.
Veuillez réessayer plus tard
Échec de l'ajout à la liste d'envies.
Veuillez réessayer plus tard
Échec de la suppression de la liste d’envies.
Veuillez réessayer plus tard
Échec du suivi du balado
Ne plus suivre le balado a échoué
-
Narrateur(s):
-
Auteur(s):
À propos de cet audio
Je, Yesu alikuja kwa maji? Ndiyo ni sahihi. Alikuja kupitia ubatizo Wake. Maji ni ubatizo wa Yesu uliofanywa na Yohana Mbatizaji kwenye Mto Yordani. Ulikuwa ni ubatizo wa ukombozi ambao kwa huo alizichukua dhambi zote za ulimwengu.
Je, Yesu alikuja kwa damu? Ndiyo ni sahihi. Alikuja katika mwili wa mwanadamu na kubatizwa ili kuchukua dhambi zote za ulimwengu, kisha akalipa mshahara wa dhambi kwa kuvuja damu Msalabani. Yesu alikuja kwa damu.
Je, Yesu alikuja kwa Roho? Ndiyo ni sahihi. Yesu alikuwa God, lakini alikuja kama Roho katika mwili ili kuwa Mwokozi wa wenye dhambi.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Pas encore de commentaire